Familia kadhaa hazina makao kufuatia ghasia za Kawangware
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Waathiriwa wa mkasa wa Moto katika eneo la Kawangware bado hawajapata usaidizi kutoka kwa Serikali na viongozi wa eneo hilo, saa 24 baada kundi la vijana kuteketeza nyumba na biashara zao. Polisi wanaendelea kushika doria huku ikihofiwa kutakuwa na mashambulizi ya kulipiza kisasi. Seth Olale ana mengi .