У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Je unaweza kutambua tofauti kati ya samaki aliyevuliwa kutoka Afrika Mashariki na aliyesafarishwa zaidi ya maili 5000 kutoka Uchina? Mwanahabari wetu Charles Gitonga anaangazia ongezeko la samaki kutoka Uchina katika masoko barani Afrika, huku mataifa ya Afrika Mashariki yakiendelea kufanya mazungumzo ya kuongeza uzalishaji wa samaki