Saturday, 13 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

Swala La Miraa

Swala La MiraaУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Hatua ya Uingereza ya kupiga marufuku kuuzwa kwa zao la miraa nchini humo inaendelea kuzua tumbo joto kwenye eneo la Meru.Hatua hiyo ilifuatia madai ya serikali ya Uingereza kuwa miraa ni dawa ya kulevya na kwamba kuna baadhi ya watu wanaotumia biashara hiyo kufadhili uharamia.Hapa nchini, baadhi ya washikadau walienda mahakamani ijumaa wakitaka shirika linaloshughulika na maswala ya dawa za kulevya NACADA kusema kuwa miraa ni dawa ya kulevya. Kwa wakulima wa zao hilo, haya ni matukio yanayovuruga biashara yao na wanataka suluhisho la haraka.
Теги: Swala La Miraa

Мой аккаунт