Thursday, 25 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

News : Mbwa zampa jamaa sifa

News : Mbwa zampa jamaa sifaУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv Watu hujishughulisha na biashara aina nyingi huku wakisaka namna ya kukimu mahitaji yao lakini kuna biashara ambazo zinahitaji ujasiri mwingi, mojawapo ya biashara hizi ni ile ya ufugaji wa mbwa. Bwana John Kagombe anafuga mbwa nyumbani kwake katika eneo la othaya kaunti ya nyeri na kuwauza kwa faida. Mbwa wenyewe ni wakali na sio wa kuchezewa lakini kagombe amezoeana na mbwa wake wakiwemo wale wa aina ya German shepherd, doberman na shilo shepherd wanaojulikana kwa ukatili wao. Kutoka kwa biashara hii anapata faida nzuri na anahimiza wengine kukumbatia biashara hiyo ya ufugaji wa mbwa.
Мой аккаунт