Wezi 2 Wauwawa Washambulia Wakaazi Katika Mtaa Wa Kimathi
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Washukiwa wawili wa ujambazi waliuliwa alfajiri ya leo katika mtaa wa Kimathi hapa jijini nairobi. washukiwa hao walipigwa risasi na polisi waliofika mtaani humo baada ya kupata simu kutoka kwa mkaazi mmoja aliyeshuhudia wizi ukitekelezwa. hata hivyo inadaiwa kwamba wezi wengine waliweza kutoweka