Bridget Achieng: 'Ewe mtoto wa kike, hakuna kitu cha bure' BBC Africa Eye
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Kilichokuwa kinafanywa kwa siri zamani, sasa hivi kiko wazi katika mitandao ya kijamii kama Instagram.
Baadhi ya wanawake wananadi miili yao kwa nia ya kunasa Sugar Daddy.
Bridget Achieng alizaliwa katika mtaa wa mabanda wa Kibera mjini Nairobi Kenya na anazungumzia jinsi alivyojinadi katika mitandao ya kijamii ilikuwavutia wanaume matajiri na hela alizopata.
#bbcafricaeye
Subscribe : https://www.youtube.com/watch?v=PPDlH...
Website : https://www.bbc.com/swahili/habari-45...
Instagram : https://www.instagram.com/bbcswahili
Facebook: https://www.facebook.com/BBCnewsSwahili
Twitter : https://twitter.com/bbcswahili