У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Katika historia ya binadamu, watu waliishi kwenye misitu, bila nguo na hiyo ilikuwa kawaida tu. Enzi hizi, watu huishi kwa nyumba, na si nyumba tu, ni matamanio ya kila mtu kuishi kwa nyumba nzuri. Lakini je wajua kwamba kuna jamaa anayeishi kwenye pango kwenye msitu wa Ngong viungani mwa jiji la Nairobi?? Si kupagawa, ila maamuzi yake. Basi huyu hapa Job Mwaura na taarifa hiyo ya kustaajabisha.