Viongozi kutoka magharibi mwa Kenya wataka uchunguzi mpya wa sakata ya sukari
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Viongozi kutoka magharibi mwa kenya wamemtaka rais Uhuru Kenyatta abuni tume maalum ya mahakama ya kuchunguza sakata ya Sukari humu nchini. Viongozi hao wametoa msimamo huo wakati wa hafla ya makaribisho ya mbunge wa Emuhaya, Omboko Milemba.