Rais Uhuru Kenyatta apokezwa ripoti na jopo la maridhiano la BBI
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Hatimaye ripoti ya jopo la maridhiano BBI imekabidhiwa rais Uhuru Kenyatta, zaidi ya mwaka mmoja unusu tangu kubuniwa kwake. Akipokea ripoti hiyo, Rais Uhuru Kenyatta amesema kuwa itatoa nafasi mpya kwa taifa kurekebisha na kuimarisha mambo. Na kama Jamila Mohamed anavyotueleza, hafla hiyo imehuhudhuriwa na waakilishi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kisiasa kabla ya kuwasilishwa rasmi kwa umma hapo kesho .