BREAKING! Saa 96 baada ya kuachiwa huru, Manji karudi Mahakamani leo
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Mfanyabiashara Yusuf Manji leo September 18, 2017 amerjea Mahakamani ikiwa ni siku 4 tangu alipoachiwa huru kwenye kesi ya Uhujumu Uchumi na leo ni muendelezo wa kesi ya dawa za kulevya.