Ripoti ya BBI yapendekeza mageuzi katika mfumo wa utawala
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Na huku ripoti ya BBI ikitarajiwa kuwasilishwa kwa umma hapo kesho, Baadhi ya mapendekezo yaliyomo kwenye ripoti hiyo ni kubuniwa kwa wadhifa wa waziri mkuu, uteuzi wa mawaziri kutoka bungeni na nafasi ya kiongozi rasmi wa upinzani. Aidha, ripoti hiyo pia inapendekeza tume ya uchaguzi-iebc ivunjiliwe mbali na makamishna wapya kuteuliwa kusimamia uchaguzi mkuu wa mwaka 2022. Francis Gachuri anatupakulia yaliyomo kwenye ripoti hiyo iliyosubiriwa kwa hamu na ghamu