Mkutano wa saba, kikao cha 37 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimeendelea mjini Dodoma ambapo Waziri wa Mambo ya Nje, Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, amewasilisha ripoti ya mwaka ya hesabu ya kituo cha kimataifa cha Arusha (AICC) kwa mwaka 2015/2016.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Baadaye waziri wa fedha, Phillip Mpango ambaye amesoma makadirio ya bajeti ya wizara hiyo.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Bunge la bajeti linaendelea mjini Dodoma ambapo wizara mbalimbali zimewasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao ambapo tayari baadhi zimeshapitishwa na mchakato wa kupitisha bajeti za wizara nyingine unaendelea.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/