Haina Faida Kuwatenganisha Rais Uhuru Kenyatta Na William Ruto, Murkomen Amwambia Fred Matiang'i
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Seneta wa Elgeyo Markwet Kipchumba Murkomen amemshitumu waziri wa usalama wa ndani Dr Fred Matiang'i kwa kujaribu kuleta utengano kati ya Rais Uhuru Kenyatta Na naibu wake William Ruto #WilliamRuto #FredMatiang'i #UhuruKenyatta #KipchumbaMurkomen