Tuesday, 23 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

Rai na Siha : Tishio la ugonjwa wa kufura matiti

Rai na Siha : Tishio la ugonjwa wa kufura matitiУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Matiti ni mojawapo ya viungo vya mwili wa mwanamke ambavyo humkamilisha kimaumbile na kumuwezesha kumyonyesha mwanaye.hata hivyo kuna baadhi ya wanawake ambao huenda wakachukulia maumbile ya matiti yao kuwa ya kawaida ilhali sivyo.  Hii leo kwenye makala ya Rai na Siha tunaangazia ugonjwa kwa kimombo 'Gigantomastia' Ugonjwa  ambao husababisha titi au matiti yote mawili ya mwanamke kuwa kubwa kiasi cha kusalia kuwa tishio kwa afya yake kando na kuwa chanzo cha masaibu na majonzi.
Мой аккаунт