Anayedai kuwa ni Mtoto wa Mhe. Edward Lowassa ajitokeza kwa RC Makonda
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa, Kati ya wanawake mia nne themanini waliofikia katika ofisi yake, 47 wamewataja Wabunge kuwa wamewatelekeza na watoto huku 14 wakiwataja viongozi wa dini.
Na katika awamu hii ya pili ya zoezi maalumu linaloendeshwa na ofisi ya na mkuu wa mkoa wa Dar es Salalam kwa ajili ya kutetea wanawake na watoto ili kupatiwa haki zao za kutambuliwa na kutunzwa, akajitokeza mwanamama alijitambulisha kwa jina Fatuma Lowassa kuwa ni mtoto wa Mzee Lowassa.
Samfrod Tv ikafanya mahojiano naye na kutueleza kuwa amefanya jitihada nyingi ili kuungana na mzazi wake huyo bila mafanikio yoyote.
Don't forget to subscribe to our channel!
Follow us on;
Face Book : @samfrodtv
Instagram : @samfrodtv
Twitter : @samfrodtv
Snapchat : @samfrodtv
You Tube : samfrodtv (Subscribe)