У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Kamati ya Haki, maadili na madaraka ya Bunge imemuhoji mkuu wa mkoa wa Daresalam Paul Makonda anayetuhumiwa kuingilia haki, uhuru na madara ya bunge kufuatia kauli yake ya kwamba wabunge wanasinzia Bungeni jambo lilotafsiriwa kuzarau chombo hicho