KIFO CHA PATRICK: Baba HALISI, Dada wa Muna Wafunguka Mazito!
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
KIFO CHA PATRICK: Baba HALISI, Dada wa Muna Wafunguka Mazito!
Global TV Online imefunga safari mpaka maeneo ya Mwananyamala ambapo ndipo ulipo msiba wa mtoto wa Muigizaji Muna Love anayefahamika kwa jina la Patric maarufu kama Patda Smart Boy, aliyefariki dunia jana jioni huko jijini Nairobi nchini Kenya.
Baada ya kufika msibani hapo Global Tv imezungumza na mtu anayedaiwa kuwa ndiye baba mzazi wa mtoto huyo tofauti na mtangazaji wa Clouds, Casto Dickson ambaye wengi wanamfahamu kuwa ndiye baba wa Patrick na pia Dada wa Muna amezungumza kuhusiana na kifo cha mtoto huyo.
Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe
http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..