Monday, 22 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

Zitto Kabwe Akamatwa na Polisi Leo Akiwa Nyumbani Kwake!!!

Zitto Kabwe Akamatwa na Polisi Leo Akiwa Nyumbani Kwake!!!У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake leo asubuhi na kupelekwa katika Kituo cha Polisi Chang’ombe. Jeshi la Polisi bado halijaeleza sababu ya kumakamata, lakini Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Yeremiah Kulwa Maganja wamesema kwamba, sababu ya kukamatwa kwa Zitto Kabwe ni kutokana na mkutano wao wa uzinduzi wa kampeni uliofanyika Kijichi mwishoni mwa juma. ACT-Wazalendo imesema sababu za kukamatwa Zitto Kabwe ni hotuba aliyoitoa Kijichi wakati wa kuzindua Kampeni za Udiwani. Aidha, ACT Wazalendo wameeleza kwamba, wanasheria wa Chama wanashughulikia kujua sababu za ukamatajwi huo Zitto ambaye pia ni kiongozi wa chama hicho. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...
Мой аккаунт