Maoni ya Zitto Kabwe baada ya uteuzi wa Rais Magufuli leo
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli march 23, 2017 kufanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko hayo ni kamteua Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo. Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ametoa maoni kuhusu mabadiliko hayo,