Saturday, 20 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

YANGA SC 2 -0 JAMHURI FC | HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (MAPINDUZI CUP - 07/01/2020)

YANGA SC 2 -0 JAMHURI FC | HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (MAPINDUZI CUP - 07/01/2020)У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Magoli ya Adeyum Ahmed dakika ya 45 kwa free-kick na Mohamed Issa (Mo Banka) dakika ya 85 kwa shuti kali yametosha kuipa Yanga ushindi wa 2-0 dhidi ya Jamhuri ya Pemba katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliopigwa leo kwenye Dimba la Amaan Zanzibar. Matokeo hayo yanaipeleka Yanga hatua ya nusu fainali ambako itakutana na Mtibwa Sugar. Wafungaji wa mabao yote ya mchezo huo ni Wazanzibari (wenyeji wa Zanzibar) ambao maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi mwaka huu yanawahusu zaidi, na pale ni nyumbani licha ya kuitumikia Yanga yenye maskani yake jijini Dar es Salaam.
Мой аккаунт