У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Jumamosi ya Oct. 28 2017 Dar es Salaam mechi ya Ligi Kuu Tanzania bara kati ya Yanga vs Simba ilimemalizika kwa 1-1, goli la Simba limefungwa na Shiza Kichuya dakika ya 58 na Yanga Obrey Chirwa dakika ya 60... baada ya hapo Makocha wameongea haya