Waziri wa Elimu Fred Matiang’I afanya ziara za ghafla Nyeri
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Baadhi ya shule katika kaunti ya Nyeri zilijipata taabani pale waziri wa elimu Dkt. Fred Matiang’i alipofanya ziara ya ghafla bila ya kuarifu usimamizi wa shule. Siku moja tu baada ya kutoa matokeo ya KCSE,waziri Matiangi amefululiza hadi Nyeri kwa ziara anayosema itaendelea kote nchini.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya