Viongozi mbalimbali kote duniani watoa rambirambi kwa Ufaransa kutokana na shambulio ya kigaidi
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Viongozi wa nchi mbalimbali kote duniani wanazidi kutoa risala za rambirambi kwa Ufaransa kutokana na matukio ya kigaidi yaliyowaua zaidi ya watu 120. Kundi la wapiganaji la Islamic State limesema kuwa lilihusika katika mashambulizi hayo yaliyowaacha zaidi ya watu mia mbili wakiwa wamejeruhiwa.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya