Friday, 19 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

Viongozi wa Jamii ya Wamaasai kutoka Kajiado wakaribishwa ikulu

Viongozi wa Jamii ya Wamaasai kutoka Kajiado wakaribishwa ikuluУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Rais Uhuru Kenyatta hii leo amekutana viongozi na wajumbe kutoka katika kaunti ya Kajiado ambapo amewaahidi kuwa serikali itaendeleza maendeleo katika maeneno yote ya jamii ya Wamasaai. Katika mkutano huo uliofanyika katika ikulu ya Rais, jamii ya Wamasaai wameshikilia kuwa wamo mbioni kuhakikisha kuwa serikali ya Jubilee imenyakua tena ushindi kupitia kura za eneo hilo.
Мой аккаунт