KTN Leo: Ahmed Abdullahi ateuliwa kuwa mgombea wa ugavana Wajir na wazee wa Degodia
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Wazee wa ukoo wa jamii ya Degodia katika kaunti ya Wajir wameteua Ahmed Abdullahi kuwa mgombea wao wa ugavana katika uchaguzi wa Agosti mwaka huu wa 2017. Kauli hiyo ilitolewa baada ya wazee kutoka koo zote kumi za jamii ya Degodia kufanya warsha katika mji wa Wajir. Mwanahabari Feisal Abdulrahman anatuelezea kuhusu mfumo huu ambao umeanza kuchangamkiwa kaskazini mwa Kenya.
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/KTNkenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.