Maofisa sita wa polisi wasimamishwa kazi kwa tuhuma mbalimbali.
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh Emmanuel Nchimbi amewasimamisha kazi maofisa wa polisi sita kwa tuhuma mbalimbali ambazo ziliundiwa timu za kuchunguza kwa kipindi cha mwaka 2012 ambapo mmoja kati yao amepewa likizo ya mwezi mmoja akisubiri maamuzi ya rais.