Tazama Wanajeshi Walivyopiga Gwaride la Mwendokasi Mbele ya Rais Magufuli
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 RAIS wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli amewatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Wananchi. Tukio hilo limefanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Maofisa hao 422 wataanza na cheo cha Luteni USU ambapo watakuwa na nyota moja. Ni Rais pekee ndiye mwenye mamlaka ya kutunuku kamisheni hiyo na si mtu mwingine. Rais Magufuli amewatunuku Kamisheni ya LUTENI USU maofisa 422 wa JWTZ waliomaliza mafunzo yao, ambapo kati yao 32 ni wa kike na 390 ni wa kiume. Aidha, kikundi hiki cha maofisa wanafunzi ni cha 61 kutunukiwa kamisheni tangu utawala wa awamu ya kwanza wa Rais Mwl. Nyerere. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...