Mambo manne ya Mbunge Goodluck Mlinga baada ya kusimama Bungeni leo
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
April 6, 2017 Mkutano wa saba wa Bunge umeendelea tena Dodoma leo, kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama na kuomba mwongozo wa Spika alikuwa ni Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliyelalamikia mambo mbalimbali ikiwemo tukio la wabunge wa upinzani bungeni kusema uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki kuwa haukuwa halali.