Saturday, 20 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

"KASEJA Safi SANA, MANULA Alikuwa HAJAPATA Changamoto" - MALIMA

"KASEJA Safi SANA, MANULA Alikuwa HAJAPATA Changamoto" - MALIMAУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
"KASEJA Safi SANA, MANULA Alikuwa HAJAPATA Changamoto" - MALIMA Nyota wa zamani wa klabu ya Yanga pamoja na Simba, Bakari Malima, amesema uamuzi wa Yanga kufanya kilele cha wiki ya mwananchi ni uamuzi mzuri hata kama wamewaiga Simba ambao miaka yote wamekuwa wakifanya Simba Day.. Malima amesema Yanga kuiiga Simba katika kuiletea maendeleo klabu sio dhambi wala hakuna ubaya wowote.. Aidha Malima amesema Kipa Juma Kaseja, amefanya kazi kubwa kwenye mechi ya Tanzania na Kenya, ameonesha uwezo mkubwa ambao kwa miaka kadhaa alikuwa hajapata nafasi badala yake amekuwa akidaka Aishi Manula.. https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Мой аккаунт