Sunday, 21 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

'Siogopi kurudi Uganda' Bobi wine atoboa yote kwa Zuhura Yunus wa BBC

'Siogopi kurudi Uganda'  Bobi wine atoboa yote kwa Zuhura Yunus wa BBCУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Mwanamuziki mashuhuri wa Uganda ,Robert Kyagulanyi kwa jina Maarufu Bobi Wine ambaye pia ni Mbunge amekuwa akielezea kupitia mitandao ya kijamii masahibu na mateso anayodai aliyopitia alipokamatwa na kuzuiliwa katika kambi ya kijeshi mwezi . Lakini Sasa Bobi Wine amefanya mahojiano ya Kipekee na Idhaa BBC akiwa hospitalini Marekani na kuelezea yaliompata. Katika mahojiano hayo na Zuhura Yunus mwanasiasa huyo wa Uganda, Bobi Wine pia anafafanua ajenda yake ya kisiasa. Subscribe : https://www.youtube.com/watch?v=PPDlH... Website : https://www.bbc.com/swahili/habari-45... Instagram : https://www.instagram.com/bbcswahili Facebook: https://www.facebook.com/BBCnewsSwahili Twitter : https://twitter.com/bbcswahili
Мой аккаунт