У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
WEMA: DIAMOND AMENIPIGIA SIMU NIKAMJIBU HIVI...
Malkia wa Filamu Bongo, Wema Sepetu, alihudhuria katika hafla ya WCB, Walipokuwa wakimtambulisha Msanii Mbosso kama msanii mpya na rasmi katika lebo hiyo.
Global Tv ilifanikiwa kumnasa mtegoni Wema na kuzungumza naye kulikoni akafika katika hafla hiyo ilihali ilishasemekana kama yeye na X-Wake, Diamond wana ugomvi, ambapo amesema hawana tatizo lolote na Diamond mwenyewe ndiye aliyempigia simu akamuomba ahudhurie mahali hapo.
Wema pia ameongeza kuwa maneno maneno yanayoendelea yakimhusisha yeye na Diamond, ni kwa sababu tu walishawahi kuwa wapenzi (Strong Couple) na mashabiki wao hawakutaka waachane lakini wao binafsi wana ukaribu mzuri tu.
Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..