У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Chama cha Wanawake wanaofanya kazi katika Utalii (AWOTA), kimeandaa maoesho ya Utalii yatakayofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa. Maonesho hayo pia yamepata baraka za Bodi ya Utalii (TTB).