The Lisa Story (Pt 1): Nduguze Mabeste hawakunitaka, Niliumwa, Kanisani nilikuwa natembea kama NYOKA
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Exclusive interview na Lisa Karl Fickenscher, aliyekuwa mke wa rapper Mabeste. Baada ya Mabeste kufanya mahojiano kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kuvunjika kwa ndoa yao na kumtupia lawama nyingi, Lisa naye ameamua kuzungumzia upande wake. Kwenye interview anaelezea ndoa yao, matatizo waliyopitia na chanzo cha kuachana