EXCLUSIVE: BARAKA Amchana DUDU BAYA/ DIAMOND / hutaniona WCB kamwe/ALI KIBA sina urafiki, part2
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
--#BarakaThePrince #ZoneMaicanBwaay #dudubaya
Baraka the Prince ni Msanii Anaefanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa Bongo flava ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, ambae Exclusive ya Dar24 ilipata Bahati ya kufanya nae Interview na kuzungumzia Mambo mbali mbali yanayohusu Muziki wake,maisha nje ya muziki pamoja na mengi yaliyokuwa yakiendelea mitandaoni kuhusu ugomvi wake na msanii Dudu Baya......karibu kuitazama ili kujua mengi kutoka kwa Mkali Baraka the Prince #ZoneMaicanBwaay
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media