Polisi mjini Mombasa wanamchunguza shekhe Mohamed Khalid anayehusishwa na ugaidi
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Polisi mjini Mombasa wanamchunguza shekhe mmoja anayehusishwa na ugaidi. Polisi wanasema walifanya msako mkali ndani ya nyumba ya shehe huyo jioni ya jana eneo la bondeni na kupata gurunedi na vilipuzi vingine.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya