PAPO KWA PAPO: Maswali ya Mbowe kwa Waziri Mkuu Bungeni leo
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Mbunge wa Hai Freeman Mbowe alisimama Bungeni leo na kuumuliza live Waziri Mkuu kuhusu Serikali kushindwa kutekeleza maazimio ya Bunge ikiwemo sakata la ESCROW, Mabilioni ya Uswiss pamoja na Tokomeza.