Mgomo wa Daladala, DC Ubungo Uso kwa Uso na Madereva
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
SUBSCRIBE NOW http://www.youtube.com/c/uwazi1
“Tulichokiamua sisi madereva hakuna kuingiza gari stendi wala kubeba abiria hapa Mawasiliano hadi kilio chetu kiifikie serikali na maamuzi sahihi yatolewe. Hatuwezi kunyanyasika kwenye nchi yetu. Tunapandishiwa ushuru kwa asilimia 100 ghafla.“Pesa yenyewe tunayopata ni ndogo, pia gaharama za ushuru wa stendi mabosi wetu hawazitambui, wanachotaka hesabu zao zitimie. Kwa kweli hatukubali. serikali watuangalie na sisi ni Watanzania kama wengine, ” Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...