Maswali 12 makubwa yaliyosikika Bungeni leo June 7, 2017
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Mkutano wa Saba wa Bunge la Kumi na Moja umeendelea Dodoma leo June 7, 2017 ambapo mbali na kuwepo taratibu nyingine, kubwa ilikuwa ni kipindi cha Maswali na Majibu na hapa nimeandalia maswali 12 makubwa yaliyosikika na kupewa ufafanuzi kutoka kwa Serikali.