Mabingwa wa Afrika wametua Dar es Salaam leo, kocha kataja sababu ya kumuacha mchezaji bora Afrika
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Mabingwa wa Afrika Mamelod Sundowns leo January 30 wamewasili Tanzania kwa ajili ya maandalizi yao ya kujiweka sawa katika mashindano tofauti tofauti ikiwemo mchezo wa Super Cup dhidi ya TP Mazembe, baada ya kuwasili Airport DSM na msafara wa watu 42.