Saturday, 20 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

Kongamano la huduma za afya kwa wote linaandaliwa Makueni

Kongamano la huduma za afya kwa wote linaandaliwa MakueniУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Siku ya kwanza ya kongamano la huduma za afya kwa wote ulimwenguni almaarufu Universal Health Care ambayo ni mojawapo ya ajenda kuu za serikali ya Jubilee imeadhimishwa hii leo katika kaunti ya Makueni kaunti ambayo inajivunia huduma bora za afya kwa wakaazi wake.  Mojawapo ya mbinu ambazo kaunti hii imeweka ni utumizi wa kadi ya matibabu inayofahamika kama Makueni Universal Health Care Card ambayo kwa shilingi mia tano pekee kila mwaka mmiliki na familia yake wanapata matibabu.
Мой аккаунт