У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
INAUMA: Hali ya LULU Leo msibani kwa PATRICK
Moja kati ya mastaa ambao ni watu wa karibu zaidi wa muigizaji Muna Love ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye pia alikuwa ni rafiki wa Mtoto Patrick ambaye ameaga dunia hapo jana huko jijini Nairobi nchini Kenya.
Lulu amefanikiwa kufika msibani maeneo ya Mbezi Jogoo na kushughulika mwanzo mwisho katika msiba huo akiwa kama mwanafamilia kwani hata kipindi cha kesi yake Muna alikuwa akiambatana naye kila siku mahakamani.
Mwili wa Patrick unatarajia kuwasili mapema Ijumaa ya Julai 6, 2018 na shughuli nyingine za msiba zitaendelea baada ya mwili kuwasili.
Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER:
https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com
/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpub