FRIDAY NIGHT LIVE - Ben Pol akanusha kulipwa ili kuwa na Ebitoke
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Mwanamuziki wa Rn'B nchini, Ben Pol akanusha kulipwa pesa ili
kuonekana yupo kimapenzi na Ebitoke, pia amekanusha kuwa kiki
nakusema alivutiwa na ujasiri aliouonyesha mchekeshaji huyo.