Wednesday, 24 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

EXCLUSIVE: Kijana wa miaka 24 na Mama wa miaka 62 waliofunga ndoa wamefunguka PENZI LAO

EXCLUSIVE: Kijana wa miaka 24 na Mama wa miaka 62 waliofunga ndoa wamefunguka PENZI LAOУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Hawa ni wanandoa walifunga ndoa mwaka 2019 mwezi wa kumi na wamezua gumzo kutokana na umri wao ambapo mama aliyeolewa anaumri wa miaka 62 ambao ni mara mbili ya umri wa kijana aliyemuoa mwenye umri wa miaka 24 tu huku ukiwa ni umri mdogo kuliko mtoto wa kwanza wa huyo mama mwenye miaka 30. Hata hivyo kijana huyo anadai hajampendea hela huyo mama kwani hana hela kama watu wanavyofikiria. #PLAY VIDEO KUTAZAMA WAKIFUNGUKA.
Мой аккаунт