Monday, 22 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

Paul Clement - Wimbo official short film by einxer1

Paul Clement  - Wimbo official short film by einxer1У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
#PaulClement #Wimbo #NgommaTz This is a short film of the song WIMBO. The song talks about having faith in God despite the situations or challenges we are passing through. The song was produced, mixed and mastered by Fisher Records under supervision of Taz. guitars by John Marco & Emmanuel Gripa. The film was directed by Einxer. PAUL CLEMENT CONTACTS Email: [email protected] Facebook: https://www.facebook.com/paul clement Twitter: https://twitter.com/paul clement91 Instagram: https://www.instagram.com/paulclement_official WIMBO LYRICS Verse 1 Eeeh MUNGU wangu nisaidie sababu nimekata tamaa maneno ya watu yamenifanya nijione duni nijione mdhaifu lakini neno lako lanipa nguvu ya kuendelea mbele na wakati huu nikiwa naongea nawe ni usiku sana Bwana kwa maana sioni chochote wala sina tumaini na tena sina furaha nina subiri asubuhi ifike haraka ili furaha irejee sababu umesema furaha yako yaja asubuhi na tena umesema furaha yako hiyo ndiyo nguvu yangu Chorus Wewe ni wimbo wangu wa moyo na sio wa kinywa hata kama nisingekuwa na kinywa bado ningeimba Verse 2 Siku ya kunitua mzigo mzito Bwana imefika siku ya kunifuta machozi ya uchungu Bwana imefika lakini yatakapotoka machozi ya furaha Bwana usiyafute maana nitafurahi kuyaona yakitoka machoni pangu kwa maana ni ishara ya ushindi utokao katika mkono wako wewe ni wimbo wangu wa moyo na sio wa kinywa hata kama nisingekuwa na kinywa bado ningeimba ©2018 Administered by Ngomma VAS Limited.
Мой аккаунт