У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Wimbo huu ulitungwa na marehemu Prof. Hubert Kairuki muanzilishi wa hospitali ya Kairuki Mikocheni wakati huo akiwa mzee wa kanisa kanisani Msasani. Aliota akiimba manenoya wimbo huu akayaleta kwenye kwaya kisha yakafanyiwa arrangement ya muziki na wimbo umefanyika Baraka sana ndani na nje ya Tanzania