Mwanamuziki STEVE CROWN Kunga'risha Tamasha la Daughter of Zion
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Mwanamuziki STEVE CROWN Kunga'risha Tamasha la Daughter of Zion
Mwanamuziki wa nyimbo za injili kutoka nchini Nigeria, Steve Crown anatarijiwa kung'arisha tamasha la Daughter of zion linalowakutanisha mabinti siku ya jumamosi tarehe 16.03.2019.
Tamasha hilo limeratibiwa na Nabii Trizah wa huduma ya Rhema the faithful ambapo mwanamuziki huyo ataungana na waimbaji wengine kutoka hapa Tanzania,akiwemo Angel Magoti pamoja mwimbaji chipukizi, Catherine Kimaryo...
Tamasha hilo litafanyika kuanzia saa sita mchana katika ukumbi wa Cardirnal Lugambwa,Oysterbay jijini Dar es Salaam ambapo watu wote wanakaribishwa.
Hakuna kiingilio ni buree kabisa
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho