У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Watunzi na waimbaji wa muziki wa kwaya huwa wana kipawa maalumu cha kuchukua sauti na kuzipanga katika michoro ya herufi ziitwazo sofa kabla ya kuzigawanya katika makundi manne maalumu ya waimbaji.Paul Kibango Agalomba ni mmoja wa wataalamu wa uandishi wa muziki ambaye amekuwa kwaya masta kwa miaka mingi na nyimbo zake nyingi zimetumika katika mashindano ya muziki ya kitaifa.Lolani Kalu alimtembelea nyumbani kwake kambi ya moto katika jimbo la nakuru na kukuandalia taarifa ifuatayo.