Mradi wa bomba la mafuta Hoima -Tanga wapata cheti cha ithibati ya tathmini ya mazingira
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
#ChongeleaniHoima
KAMPUNI inayosimamia mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) imepokea cheti cha Ithibati ya Tathmini ya mazingira kwaajili ya utekelezaji wa shughuliza mradi wa EACOP nchini Tanzania. @Daily News Digital