Meya Ubungo kuhusu Wamachinga kuzagaa eneo la ujenzi wa FLYOVER
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Leo August 30, 2017 Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob amefanya mkutano wa hadhara kuzungumza na Wamachinga uliofanyika Makutano ya Ubungo Mataa kuzuia vyombo vya ulinzi na usalama kuwaondoa kwa nguvu.