Magazeti ya Leo Jumatatu 18/9/2017:Rekodi ya Lisu yatikisa Afrika
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Magazeti ya Leo Jumatatu tarehe 18/9/2017 yametawaliwa na habari kubwa mbalimbali pia katika upande wa mwisho wa kurasa za Magazeti zimetawaliwa na ushindi wa Simba sc ukichagizwa na magoli mawili aliyoyafunga Mganda Emmanuel Okwi ambaye pia aliibuka nyota wa mchezo